Kenya Literature Bureau

 (+254) 20 3541196/7

The Village Fool

 

 

Nasaha Kamusi ya Methali Kimaudhui imeainisha methali za Kiswahili kimaudhui. Methali hizo zitamwelekeza msomaji au mtumiaji kuzitumia vyema katika muktadha maalum.

Hapana shaka kuwa Kamusi hii ya methali kimaudhui itawasaidia pakubwa wote wanaoienzi lugha yetu tukufu ya Kiswahili. Itakuza kwa kiwango kikubwa matumizi ya methali za kiswahili kwa njia mwafaka.

 Msururu huu wa Kamusi unaochapishwa na KLB pia una:

 • Nasaha - Kamusi ya Vitendawili na Mafumbo

 •Nasaha – Kamusi Ya Misemo Kimaudhui